1974hrs
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 741
- 536
Ndugu zangu wanajf
Ninafuatilia kwa ukaribu vita inayoonekana kuendelea duniani ikipewa jina la vita dhidi ya Ugaidi.Sasa naona South Korea nayo ipo njiani kuchafuliwa na marekani!Balaa ninaliohisi ni pale ambapo URUSI nayo imeingilia kati na kuweka ndege za kutupia makombora na helkopta zenye uwezo wa kudaka makombora ya adui katika pwani ya Korea kaskazini!Korea kusini inawaunga mkono waamerika.Sasa Huko kuna IS,ALQAEDA,BOKO HARAM nao wanawindwa na kuwinda.
Bado kuna SOUTH SUDAN,BURUNDI,SYRIA,YEMEN na AFGHANISTAN,PAKISTAN INDIA na KASHMIR.
Nahisi mwanzo wa vita ya 3 ya dunia inanukia!Nangoja kuiona Afrika inamuunga nani mkono na kumuacha nani!
Ooh GOD help the world