'Most evil people' Huyo mtume anahusika, hata kama alikuwa anasingizia kutumwa na mungu wake, uovu ni uovu tu hata ukitendwa kwa\ kisingizio cha kutumwa na allah
nyerere anakosekana vipi kwenye list hii?
IDD AMIN duh..kweli jamaa alikuwa noma
Hapana, naamini hata anaposema 'Most evil people' hazungumzii matapeli, anazungumzia waliomwaga damu za binadamu wenzao, Usiwe na wasiwasi mtume wako si mmoja wao, yeye hajawahi kumwaga damu za watu, hajawahi kubaka watoto na hajawahi kufanya uporaji kwa kutumia majambia. Uwe na amani wewe mtume wako alikuwa mbora wa mitume na mfalume wa amani! Islam!!!???
He was dictator of North Korea from 1948 to 1972
Amin was forced in exile in Saudi Arabia for the rest of his life. Amin died almost 25 years later in 2003. In that time Amin lived a very peaceful life.
umekosa ! ya Makka
Duh!
We kweli Mabangi:majani7:...bangi ya kwenu Musoma haifui dafu mpaka uagize kutoka Makka......no wonder mawenge ya bangi hayakuishi!
Shame on you Great Stinker!
Kwa mfano!!!..in history...? mbona mitume hawamo..??...manake kuna mitume walikuwa katili balaaa!
Sadam Hussein , gadafi,ukiangalia hivi FBI ilivyocorrupt wali plan kuwamaliza bill evidence .wameshfukiwa hili kasheshe la Trump na Russia .They make things up to start a war invade a country .Kuangalia jinsi media so corrupt .Sasa hivi I believe Kennedy’s , Martin Luther king na Malcom x waliuliwa hawa wats na CIA .Saddam Hussein ameingiaje kwenye hiyo orodha
Sadam Hussein , gadafi,ukiangalia hivi FBI ilivyocorrupt wali plan kuwamaliza bill evidence .wameshfukiwa hili kasheshe la Trump na Russia .They make things up to start a war invade a country .Kuangalia jinsi media so corrupt .Sasa hivi I believe Kennedy’s , Martin Luther king na Malcom x waliuliwa hawa wats na CIA .