Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,157
- 6,163
Huyu atasumbua sana sokoni tofauti na watangulizi wake, promo la ujio wake tu imeizidi hata lc300
Unamwamini Mungu na atakutimizia zaidi ya unavyohitaji. Mungu akubariki sanaSitakufa mpaka nimiliki kati ya haya:
Prado hizi mpya za kisasa
Hilux hizi mpya za kisasa
Ford ranger
Volkswagen amarok
N.B
Hii volkswagen amarok mpya ya msouth hivi mmeiona?
Wameshare vitu na ford ranger, chuma kimetulia balaa
Kweli. Nimeona promo yake sio mchezo. Japo wamebana kuipa engines za LC300.Huyu atasumbua sana sokoni tofauti na watangulizi wake, promo la ujio wake tu imeizidi hata lc300
Umeonaeeee.....watenge bajeti mapemaSerikali izichangamkie sasa waweke special order kwa viongozi kabla hazijawa common sana Ulaya na Marekani.
Unyama mwingi upo katikati hapo 🔥🔥🔥🔥Land cruiser 2024
View attachment 2709943