The 2019 NBA Playoffs

Yes blazers is a formidable team but not on the same level as compared to GSW in full strength. I don’t know for how long KD will be unvailable. It is a very good opportunity for Blazers to take advantage of KD MIA. I hope they will not waste this rare opportunity to beat GSW.

You all should note that the Portland Trail Blazers are formidable team. They will come back strong and plan. So don't get it all figured out... Yet

I think Portland Trail Blazers can do a surprise. It's time to show themselves. I don't think there will be a big difference even if they lose. I've never written my nacizane views with intentions, good luck to Blazers.
 
It depends on the availability of KD, but they are capable of tying the series 2-2. They were so close to steal home court advantage.
Wanasema KD anaweza rudi game 3 or 4 haijulikani Gs hawataki kudesclose.
 
Kwa Maoni yangu Kabla Bucks Hajaiwaza final nafikiri anatakiwa kuwaza jinsi ya Kumtoa Raptors, ule ni mlima kamili anatakiwa kuupanda kabla ya kuwaona GSW ambao ni kama mfupa mgumu sana kwa Blazzerz,

Nasema hivyo kwa sababu Bucks na Raptors level yao ya ubora ni kama inalingana , sio kwamba ni timu mbili ambazo zimezidiana sana uwezo kiasi cha kusema Bucks aanze kuwaza final.

Unaweza tunza hii comment, ila usishangae series yao ikaamuliwa kwenye game 7.

Good morning
 
Yes blazers is a formidable team but not on the same level as compared to GSW in full strength. I don’t know for how long KD will be unvailable. It is a very good opportunity for Blazers to take advantage of KD MIA. I hope they will not waste this rare opportunity to beat GSW.
Kuna uwezekano KD hatashiriki kabisa kwenye hii Western Conference Finals ya Warriors dhidi ya Blazers. Taarifa ya hivi karibuni inasema atakosa michezo minne na hii ina maana kama Warriors wakiifagia Blazers, basi KD asubiri tu kucheza na ama Bucks au Raptors. Lakini kama Blazers watajitutumua nyumbani kwao na kuwalaza Warriors basi KD ataweza kuonekana kwenye michezo itakayofuatia.
 
IMO KD is their MVP especially on these playoffs, but so far so good without him and hopefully they will continue to dominate Blazers in Portland.

Kuna uwezekano KD hatashiriki kabisa kwenye hii Western Conference Finals ya Warriors dhidi ya Blazers. Taarifa ya hivi karibuni inasema atakosa michezo minne na hii ina maana kama Warriors wakiifagia Blazers, basi KD asubiri tu kucheza na ama Bucks au Raptors. Lakini kama Blazers watajitutumua nyumbani kwao na kuwalaza Warriors basi KD ataweza kuonekana kwenye michezo itakayofuatia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom