Kutokana na ugumu wa maisha pamoja na mbao kupanda bei, tumeamua kuwa wabunifu.
Kwa sasa huku UCHAGANI mgomba unatoa mbao, kwahiyo kitanda changu nimetengeneza kwakutumia mbao za mgomba, so mambo yanakwenda aste aste.

Mkuu angalia vizuri, hiyo bendera ni ya Uganda, nawaaminia sana watu hawa wanajiita people from area code 256, huwezi kukuta mkorogo kwao ni wana-shine mbaya, kikubwa wako creative sana katika events hasa wedding, ukitaka uhakika linganisha vipindi vya wedding shows kwa TBC Tz, Citizen KE na UBC UG utaona jinsi wa TZ tulivyo nyuma hata wedding antherm haijulikani tumezoea kuiga quaito ya SA labda ndio wedding antherm yetu.