Kweli kabisa. Ukitoa kuna kua na ile feeling ya kua useful to somebody ambayo ni rewarding.
Ila kumbuka, ukimpa huyo mtu kitu chochote, na yeye pia anakua mwenye furaha.
So hata wewe ulie toa, geukia maisha yako na count your blessing, be aware of what you receive
na utajazwa na furaha pia. Usihesabu tu, bali tafakari na tekeleza maana ya kua na vitu hivyo
Afya, ndugu na marafiki, physical ability, mental ability, macho ya kusoma hii post
Na ukisha tekeleza kua una bahati ya kua navyo, furahia kua navyo. enjoy that feeling
It contains the potential to unleash happiness within you. Happiness is within us, not outside.