Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Hahaha chuo ilikuwa mtu kuongeza booklet wakati wewe hujaitumia hata nusu na ndo ushashusha nyanga zote. #Tatizo
ila kuna wengine wanaongeza ni masifa tu
Sasa kama wewe huna cha kuandika unakasirika nini? Hahahaha duh nimemisi shule aisee, ngoja nikajiongeze
haha lazima utamind hapo hujui jamaa akiongeza ana kudissapoint
Hehehe kumbe na weye ndo wale wale. Unakuwaje disappointed wakati hamkukesha wote kusoma. You get beaten fair and square, take your punch with a smile.
Hilo klasi babu kubwa maana naona kuna mnyama wa Mac hapo nyuma...