sweetlady JF-Expert Member Dec 24, 2010 16,947 8,409 Oct 24, 2012 #121 Mungi said: sweetlady sabuni zipo za kutosha, ila kuna mmoja inaitwa rexona Arushaone amenitonya kuwa badala ya kuitumia kuniogesha, we unaweza kuitumia kumfanyia mzee mzima masaji. So nimei ommit kwenye hesabu. Click to expand... We agiza vyote ambavyo unadhani vitafanya zoezi zima la kukuogesha likuache mwenye furaha teh teh! Mie najitolea na mafuta ya masaji pia! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mungi said: sweetlady sabuni zipo za kutosha, ila kuna mmoja inaitwa rexona Arushaone amenitonya kuwa badala ya kuitumia kuniogesha, we unaweza kuitumia kumfanyia mzee mzima masaji. So nimei ommit kwenye hesabu. Click to expand... We agiza vyote ambavyo unadhani vitafanya zoezi zima la kukuogesha likuache mwenye furaha teh teh! Mie najitolea na mafuta ya masaji pia!
sweetlady JF-Expert Member Dec 24, 2010 16,947 8,409 Oct 24, 2012 #122 Mungi said: sweetlady ndo umefanya nini? jana nimelala sijaoga. Click to expand... Oooh! Very sorry Mungi! Leo ntajitahidi niwepo hapo mapema iwezekanavyo lol. Nibakishieni na mtori kabisa. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mungi said: sweetlady ndo umefanya nini? jana nimelala sijaoga. Click to expand... Oooh! Very sorry Mungi! Leo ntajitahidi niwepo hapo mapema iwezekanavyo lol. Nibakishieni na mtori kabisa.
Remmy JF-Expert Member Jun 9, 2009 4,701 1,799 Oct 24, 2012 #123 Mungi said: Anzia mwanzo mkuu utaelewa tu........................... Click to expand... Sasa nimekuelewa. Hongera sana!
Mungi said: Anzia mwanzo mkuu utaelewa tu........................... Click to expand... Sasa nimekuelewa. Hongera sana!
The secretary JF-Expert Member Jan 14, 2012 4,149 2,536 Oct 24, 2012 #124 Mungi, Bishanga nimempakata kama kifaranga chini ya mbawa ya mamaye vitega uchumi vyake vyote namiliki hana ya kuonga ndo maana analalamika women
Mungi, Bishanga nimempakata kama kifaranga chini ya mbawa ya mamaye vitega uchumi vyake vyote namiliki hana ya kuonga ndo maana analalamika women