Nimezipokea Mjomba karibu nami naanza kunywa mtori
Hata Mie sijaelewa mbona umeanza kutaja majina ya kina Preta?
ama wote ushawamimbaraizi ndo wamepata watoto mapacha?
Hata Mie sijaelewa mbona umeanza kutaja majina ya kina Preta?
ama wote ushawamimbaraizi ndo wamepata watoto mapacha?
hahaaaaaaa firstlady1 nilidhani nimekupost na wewe. I mean warembo kama akina wewe ndo ametua home kwangu.