Thanks Airtek, But Mh!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Thanks Airtek, But Mh!!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kikelelwa, Aug 30, 2011.

 1. K

  Kikelelwa Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 96
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Wakuu wa Jamvi.

  Mimi ni mteja mzuri sana wa Kampuni ya airtel.

  Kwasababu ya shughuli zangu napendelea kujaza simu yangu airtime ya 100,000 mara nyingi.

  Sina tabia sana ya kuangalia Salio kwenye simu yangu. Lakini last week nilikua nataka nimpunguzie m2 salio so Nililazima kuangalia saliao nina kiasi gani.

  Nilikuta nina kama kiasi cha 89,000. basi nikampunguzia jamaa kama 3,000. nikaendelea kupiga simu.

  Three days later nikiwa katika mawasiliano yangu ya kawaida, simu ikakatika, Ikanilazimu kuangalia salio nikakuta nina 4/=.

  Kusema kweli nishtuka sana, I just thought Labda kuna m2 alichukua simu yangu akacheza na password akatoa hela, Kwasababu nilikua na uhakika kabisa sijapiga simu za over 80k in three days, after all zain kwenda zain coz laini zote ninazo.

  Jana usiku nikapata sms from Airtel. ''Mpendwa mteja mitambo yetu ilikata kiwango cha juu kimakosa jana tumerudilisha kiasi kilichozidi gharama za kawaida za simu. samahani kwa usumbufu uliojitokeza''

  Hapo hapo nikaangalia salio nikakuta balance ya 74,000.
  Inamaana Airtel wangepiga kimya na mimi ningepiga kimya so ingekua umekula kwangu.

  Tujenge tabia ya Kuwa tunaaangalia salio, hasa sisi wateja wa Pre-paid.

  Thanks.
   
 2. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii kampuni ni mpya hapa Tanzania au ni ya Kenya.
  Sasa ulitaka kutuaminisha nini hapa kuwa hizi kampuni za simu ni wezi au vipi waaminifu sana.
  Mbona sikuelewi bingwa.
   
 3. K

  Kikelelwa Member

  #3
  Aug 30, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 96
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Technician or Whatever you call yourself! Do you mean that you didnt see it was a Typing error, Even after reading the content?
   
Loading...