Thank you Valentine Babes For the Ride 😍😍

Aaahahahhajaa KK basi sawaaa...

Ukiondoka kuelekea chumbani kulala nami ntakuwa nyuma yako...

Ntaingia chumbani kwangu na kuzima taa nilale foofoofooo.

Kesho nsijejikuta narembua macho tuu bila hata kusemeshwa
.

Yote heri kabisa!

Kama ni majirani nitaimba wimbo murua wa chombeza na kubembeleza utasikia huko ulipo upate kulala usingizi kama wa mtoto mchanga.

Hapo kwenye kurembua watu watasema hebu karibia tuyadake mbona kama yanataka kuanguka.

Wengine watasema mbona kasie leo kaja kwa shali maana mazungumzo yote na uhusiano wowote kwa upande uanza kwa mazungumzo ya macho.
 
Na wewe ulimpa Nini.....? Sikia jibu lake alafu uone wanaume ni jinsi gani hatuna akili.
 
Mweeeeeeeewh kwanzia mwaka kesho tunapeleka mswada bungeni tubadilishane wapenzi lazima bunge lipitishe hii sheria haraka sana kwa maslai mapana ya nchi yetu.
 
Maua ya picha ya kwanza na maua ya picha ya tatu hayafanani..

Dashboard ya picha ya pili na dashboard ya picha ya tatu hazifananii..

Surprise trip ukabeba two different handbags.. Refer pic number 1 and 3 πŸ˜‚πŸ˜‚

Fake it until you make it..

Happy Valentine's..
 

Aahhhahahaa thanks KK...

Na nililala kama katoto yaani nimeamka natabasamu ...😊

What a sweet Monday πŸ˜‡.
 
I didn't get any response to Valentine's day since am single and that day i see was normal Sunday

Ooohhh polee...

But why are you single, dont you love?

Yaani....

If you don’t mind, on your birthdate this year please alert me one week before so I can do something for your soul.

Natumai ntakuwa nimefanya kitu kwenye maisha yako...πŸ˜‰

NB: This is not a promise, but it is a must in 2021 to do list.
 
Ooohhh polee...

But why are you single, dont you love?

Yaani....

If you don’t mind, on your birthdate this year please alert me one week before so I can do something for your soul.

Natumai ntakuwa nimefanya kitu kwenye maisha yako...
Watu na bahati zao walaah
 
Ooh waoooh it will be may 22
 
Na wewe ulimpa Nini.....? Sikia jibu lake alafu uone wanaume ni jinsi gani hatuna akili.

Aahahahahahhaaa

We just have good time for real.

He usually enjoy when am beneath him..

My time, smile, sweet words, funny voice was more than a gift to him. ☺️
 
Mweeeeeeeewh kwanzia mwaka kesho tunapeleka mswada bungeni tubadilishane wapenzi lazima bunge lipitishe hii sheria haraka sana kwa maslai mapana ya nchi yetu.

Aaahahahahahhaaaa

Its all about being ready
Being positive even on negative issues.
And enjoy the moment to the fullest.
 
Haya maneno ni hela tu, ukiwa na hela hii mambo mbona simple tu.

Ngumu sana kuonyesha love(kisasa) bila pesa. Wakuu ikibidi hata njia za mkato tu ili tuzikamate jamani. Ona jamaa alivyom-spoil Kasinde.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…