Thank you so much Dear Ex

Kosa kubwa alilofanya ni kukuambia ukweli. Wanawake wengi wanafanya haya ila hawafunguki kwa waume zao au watu wanaotegemea kuishi nao, wanaliwa kimya kimya.
 
Kosa kubwa alilofanya ni kukuambia ukweli. Wanawake wengi wanafanya haya ila hawafunguki kwa waume zao au watu wanaotegemea kuishi nao, wanaliwa kimya kimya.
Seriously?? So ebu vaa viatu vyangu kama na wewe ndio unaambiwa hivyo ungefanyaje mkuu???
 
Usimuamini mwanamke hata kidogo nitakuambia kwanini hapo chini.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke utakaempata ajihesabu kuwa kapata mwanaume wa kweli. Mkuu jitambue kuwa wanaume wa type yako nowdays ni wachache sana. U r a real man. Hongera sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kuna nini siku 3 au 4 hizi?
Huyu kaachwa,
Yule kaacha,
Huyu kamwaga mafuta ya upako wa kifo yakauwa watu.
Yule kaweka JF video za uchi za mwanafunzi wa Sheria wa Mzumbe Uni Mbeya.
Yule kapigwa ban kukanyaga unyawemwezini.
Mara waziri mmwaga uno hadharani katumbuliwa!

Basi ili mradi mambo yawe mengi tu, kichwa inauma kwakweli!!
 
Seriously?? So ebu vaa viatu vyangu kama na wewe ndio unaambiwa hivyo ungefanyaje mkuu???
Ningemwacha si kwa sababu kanisaliti au kazini, sababu ni karuhusu nifahamu. Mwanamke mjanja ambaye hajanidharau angemkana huyo na matusi angemtukana maana anajua ni short term mngono na mm ni mumewe. Ukweli ni kwamba wanawake wengi sana wanaliwa pale wanapopewa msaada au wanahitaji msaada. Wengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…