Thank you God

[Thank you,QUOTE=Lorisy;9214498]happy birthday,May God grants you many years ahead[/QUOTE]
 
HBD mungu akupe maisha marefu yenye furaha....uje kuchukua zawadi.
 
Happy birthday mdau. Uwe na siku njema. Mshirikishe Mungu katika yote na utafanikiwa
 
:A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose:HBD:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
 
what a sad moment.your death is very near than the way it was yesterday.

Happy few yearz to death day...birthday yako ilishapita ni siku ile uko hospital na mama.

Usisahau kumnunulia mama japo khanga kama yupo na kama unauwezo
 
Nakuweka katika mawazo yangu siku nzima ya leo labda MH370 ipatikane leo ndiyo nitahamisha mawazo yangu toka kwako na kuyapeleka PERTH.

HAPPY BIRTHDAY

TUKO PAMOJA BARIKIWA
 
Wishing you happy n long life. happy bday!
 
Utabarikiwa zaidi kwenye siku yako ya kuzaliwa kama hizo god zako zitaanza na herufi kubwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…