Thamani Ya X.

nilikuwa siupendi hayo maswali *****

Hahah.

Kama vile nakuona aisee ulikuwa unayaonea yale maswali ya mwanzo mwanzo tu. Hahah.

Ila mwisho mwisho huku ilikuwa ni balaa mkuu. Lakini utakuta kuna watu wanaomba mpaka waongezewe muda wakati wengine wanaomba muda uishe angalau wakusanye makaratasi waende zao.

Hahahah. Hatarious.
 
Kwakweli kisa cha kuchoshana na thamani ya x nini!!
 
kuna yale maswali kama 7 ya mwanzo ndo nilikuwa nayafanyaga nakuja piga swali la star Kwa ujumla kwenye esabu nilikuwa sidhidigi maswali 20 kuyafanya naenda kusanya nakuja jazia kwenye kiswali na civic maana hayo masomo mawili nilikuwa sikosagi B au C
 

Maths ni ugonjwa kwa walio wengi tu mkuu. Acha aisee.
 
Ukitaka kujua Thamani ya X basi uikute kwenye Nyumba yako au uachanae na mpenzi/mke wako.
 
x = 50+30 = 80/180
x = 180-80 = 100
:- X = 100
 
x = 50+30 = 80/180
x = 180-80 = 100
:- X = 100

Hahah.

Hapa mkuu hata ukipata au ukikosa sitaweza kugundua kwa kweli.

Mie naona nyotanyota tu mkuu.
 
Ukitaka kujua Thamani ya X basi uikute kwenye Nyumba yako au uachanae na mpenzi/mke wako.

Inapotoka X inafuata Y mkuu Y ikitoka tutamaliza na Z tu wala haina tatizo aisee. Lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…