Milioni 700?? Kwa lipi?? Wachezaji wenyewe wa bongo viwango vyao haviko consistent vinayumba kama Homa za vipindi. Na asilimia ngapi ni ya magazeti maana nayo yanampa promo sana
Kama Ni Ubingwa Wa Uwongo Duniani Wewe Unaongoza. Hivi Msuva Akiwa Na Thamani Hiyo Je Ile Mido Nyeusi Ya Etoile Itakuwa Na Thamani Ipi?
Klabu ya Dar es Salaam Young Africa FC imetamka thamani ya kiungo wao mashuhuri kabisa yaani saimon Msuva kuwa ni Shillingi Million mia 750/=
Kutokana na Tetesi zinazosikika kwamba kuna baadhi ya vilabu hapa nchini vinamnyemelea.
Inasemekana kwamba Klabu yoyote ambayo itakuwa na uwezo wa kufukia kiasi hicho cha pesa, basi wawe huru kuanza mazungumzo na mchezaji huyu.
http://1.bp.blogspot.com/-WCrYFeJlpMI/VKA7mYI9G1I/AAAAAAABQOo/Fkp5YiTKrYw/s1600/1.JPG
Chuki dhidi ya Yanga zitakuua wewe.Ona sasa badala ya kumquote mleta mada umemquote mikia mwenzio!
Ha ha ha na bado.
Ile mikia FC ambayo imefilisika imesema inahitaji huduma ya Saimon Msuva katika timu yao.
Sasa nashangaa sijui watamlipa Tsh ngapi...?
Is this a joke?
Kama Ni Ubingwa Wa Uwongo Duniani Wewe Unaongoza. Hivi Msuva Akiwa Na Thamani Hiyo Je Ile Mido Nyeusi Ya Etoile Itakuwa Na Thamani Ipi?
Chuki dhidi ya Yanga zitakuua wewe.Ona sasa badala ya kumquote mleta mada umemquote mikia mwenzio!
Ha ha ha na bado.
huyu hata milioni mia hafikii!!
miaka mi5 ijayo bado atakuwa hapa hapa kama ngasa[/QUOTE]Asante sana kwa kutujulisha hiyo thamani yake ,haya basi simba wamwache aendelee kuchezea yanga kwa sababu Yanga wanajua thamani yake ni hiyo na simba inajua thamani yake ni hiyo .Yanga Bingwa....
Kama huyo Bakhresa ana hela ya kufanyia mchezo kiasi hicho kwanin msimu uliopita wa usajili alishindwa kumsainisha kijana kutoka Mali anaekipiga El marreick ya Sudan Ahmad Traore!!!wao waseme tu jamani Msuva hauzwi basi isije ikatokea mzee Bakhresa atatoa hivyo vijisenti halafu wabaki wanashangaa