Ngwananzengo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,911
- 1,320
Hii huwa naitumia kama kigezo cha msingi kwangu. Hata kama moja haisimami wala mbili haikai kama alivyosema mwanadada mmoja. Najua siku yaja nitafanikiwa.Kiukweli thamani ya mwanamke ni akili yake na ujuzi wa kupambanua mambo!!