DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 14,483
- 32,747
mwanamke ana thamani kubwa sana na haina mfano,angalia wanaume tunawapiga,tunawatukana,tunawadanganya,tunawanyanyasa,tunawaharibia maisha,sasa cha ajabu,ndio haohao tunataka papuchi zao,tunataka watuzalie watoto,watulelee watoto bila ya kuwasaidia,watupikie,watufulie,watutunzie nyumba na kila aina ya unyama tufanyie na bado tunawataka kwa mpalange,na wakitupa kwa mpalange tunawafanya sana na tunaenda mitaani kujisifu kuwa tumewala kwa mpalange.yote wanayavumilia,sasa siku watakapotugeuka,sijui