Hamna anachofanya kuashiria he is sorry?
Shkamoo babu...
Basi babu tudokeze ni vitu gani 'MWANAUME' anaweza kufanya kuonyesha kwamba amekubali kakosea and he is sorry bila kusema chochote.
Ukikubali.kosa yaamaanisha hutaweza rudia tena lakini unapokataa kosa wakati unajua kabisa hata anipe nini, ngumu sanaaa. Lkn akisema ni kweli mke wangu nimefanya hivyo.nidanganye ni shetani tu alinipitia au mazingira yalikuwa hivi na hivi yalinilazimu kufanya hivyo nami naona kabisa ni kosa hata mimi ningeumia sana tafadhali nisamehe. Roho yangu kwatuuuu na naweza kusamehe toka rohoni kabisa na sitakumbusha tena.
Mnyime ile kitu inayo mfanya awe mpole akiwa juu yako.
Ladies, kwako mume/mpenzi wako anapokukosea una-prefer aombe samahani ya aina gani???Ipi unadhani ni ya dhati?
..Anyamaze kimya ila ajaribu kuku-WIN kwa kukununulia zawadi na kukufanyia vitu vizuri ambavyo alikuwa hafanyi mwanzo mf. Kukutoa out, kukusaidia vikazi vidogo vidogo nyumbani, kujali hisia zako na mahitaji yako binafsi, kuwahi kurudi nyumbani, kukushirikisha mambo yake n.k
Au ..kukuambia SAMAHANI, NILIKUKOSEA, HAITOTOKEA TENA alafu basi??
Wakaka/wababa huwa mnamaanisha nini pale mnapogoma kusema samahani na badala yake kuanza kumwaga mazawadi na pesa kwa wenzi wenu?
Ladies,
kwako mume/mpenzi wako anapokukosea una-prefer aombe samahani ya aina
gani???Ipi unadhani ni ya dhati?
..Anyamaze kimya ila ajaribu kuku-WIN kwa kukununulia zawadi na
kukufanyia vitu vizuri ambavyo alikuwa hafanyi mwanzo mf. Kukutoa out,
kukusaidia vikazi vidogo vidogo nyumbani, kujali hisia zako na mahitaji
yako binafsi, kuwahi kurudi nyumbani, kukushirikisha mambo yake n.k
Au ..kukuambia SAMAHANI, NILIKUKOSEA, HAITOTOKEA TENA alafu basi??
Wakaka/wababa huwa mnamaanisha nini pale mnapogoma kusema samahani na
badala yake kuanza kumwaga mazawadi na pesa kwa wenzi wenu?
Hiki ndicho nilichokuwa natafuta kutoka kwa wazoefu wa maisha....
Mwanamume gani bwana atakaa kila siku na kujipigisha magoti kuomba misamaha isiyo na kichwa wala miguu?
Inabidi wamama wajue kuwa tunaendeshwa na hormones tofauti kiasi kwamba hatuwezi kufanya mambo kwa mbinu zinazofanana. Hii haina maana kuwa hatuombi msamaha ila uombaji wetu ni tofauti na ule wa wavulana!!
mi wangu ana jeurii moja matata......hata akosee haombi ng'o...dawa yake ipo jikoni
umeona akijishusha sana ataonekana bushoke
ikichemka nimiminie namie kwenye kichupa hata nusu lita tumi wangu ana jeurii moja matata......hata akosee haombi ng'o...dawa yake ipo jikoni
Next........................................????
Jeuri, kiburi, dharau, Ego and the likes..I think.