Thamani ya Mama haipimiki!

Muda wote nilioona hii picha ckua nafahamu kama ina story hii jaman darhhh!!!
 
Mama ndo kila kitu kwakweli,maana anakuwa na true love
 
Ila kuna mama wana roho ngumu anatupia chooni ili yeye aendelee kula bata
 
Ila kuna mama wana roho ngumu anatupia chooni ili yeye aendelee kula bata
Ni kweli mkuu ,,ila inabidi tu tuseme tunawapenda mama zetu kwa kuwa tumetoka wazima ,japo kupigwa na miiko,mikanda,mabomba ya chuma tumepitia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…