Hauko peke yako. Hata chawa wake mkuu Jumbe Brown kama kajipa likizo isiyokuwa na malipo.Ngoja tusubiri tuone kama hiyo 2025 atafanikiwa kwenye hiyo dhamira yake.
Ila kwangu mimi niseme tu big No kwa huyu Bi Mkubwa. Siwezi kumpigia kura ya ndiyo.
Palikuwa na umuhimu wa TWAWEZA au ndugu zao kumpatia approval rating yake baina ya watu leo inasimama wapi, labda ingemgutua.Mambo ya Uongozi wa Nchi Huitaji Vipanga kichwani. Kwa mambo yanavyoenda imethibitika pasi na shaka kuwa...
Unadhani hajui kuwa watu hawampendi? Anajua sana! Sema kuna timu imempa Assurahce kuwa ukishindwa Uchahuzi umependa mwenye wakati watu wa IT na Polisi wa kutimua wanoko wa kulinda Kura wapo na ni yeye anawalipa.Palikuwa na umuhimu wa TWAWEZA au ndugu zao kumpatia approval rating yake baina ya watu leo inasimama wapi, labda ingemgutua.
Kama uliyoandika ni sahihi, basi huyu mama atakuwa na roho ngumu sana. Roho za namna hiyo haziwezi kuwa na nafasi katika jamii iliyostaarabika.Unadhani hajui kuwa watu hawampendi? Anajua sana! Sema kuna timu imempa Assurahce kuwa ukishindwa Uchahuzi umependa mwenye wakati watu wa IT na Polisi wa kutimua wanoko wa kulinda Kura wapo na ni yeye anawalipa.
Ninavyoona mama yupo vizuri ila washauri wake ndio tatizo!
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Mwalimu J.K.Nyerere na KingwenduMambo ya Uongozi wa Nchi Huitaji Vipanga kichwani. Kwa mambo yanavyoenda imethibitika pasi na shaka kuwa Akili zinazotuongoza kwq sasa zinatosha tu kuongoza Familia na Ukoo. Hata Machawa Wanaomsifia kwa lengo eti la kumtia nguvu ni kupoteza muda tu. Akili haziji kichwani kwa watu kukusifiasifia. Ni Mungu aliumba hivyo. Wenye akili nyingi na wale akili ndogo.
Sometimes simlaumu sana maana kazingirwa na panyabuku na nguchiro kila konaMama Samia alikuwa na muda wote wa kutuwekea misingi imara ya Tanzania mpya yenye haki kamili. Tukawa na Tanzania isiyokuwa na malalamiko. Sote tukajisikia kuwa na haki sawa.
Ajabu na kweli mzuka uliompitiliza wa 2025 umempiga upofu. Haoni wala hasikii.
Haya matozo yanayopigiwa kelele kila kona hata hayamfikirishi? Chawa wake wangapi nguli hawaonekani tena mitandaoni hata kumjibia hoja?
Amepima kuona kama akikwama 2025 au atakapotoka madarakani atakuwa na sifa au hata kuacha legacy gani?
Angeshukuru kwa minne aliyopata na kujielekeza kwenye kuliweka taifa mikononi mwa watu, hata mitano mingine ya haki mbona ingemfuata tu?
Yetu macho, ngoja tuone.
Wewe umetoa mawazo yako nami nina yangu, mama anaharibiwa na wasaidizi wake aliowaamini na kuwasikiliza.Hehehe! Sasa mpaka Washauri wanakuwa tatizo yeye hajui kama ni tatizo hapo hujagundua kuwa yeye ndo zigo kqbisa? Unadanganywa halafu hujui kama unadanganywa?
Niliwahi kuandika uzi huu:Sometimes simlaumu sana maana kazingirwa na panyabuku na nguchiro kila kona
Una maana tumerejea kwenye square A?Ninavyoona mama yupo vizuri ila washauri wake ndio tatizo!
Nawaza kwa sauti
Ashakum si matusi. Palikuwa na uzi hapa:Nawaza kwa sauti
Kwamba?Kuna tofauti kubwa sana kati ya Mwalimu J.K.Nyerere na Kingwendu
Hakuna cha washauri,kwani yeye haoni? Hasikii?tusisingizie washauri jamani ndo uwezo wake ulipoishia.Ninavyoona mama yupo vizuri ila washauri wake ndio tatizo!
Wanasema kukiri mapungufu ni kitendo cha maendeleo.Hakuna cha washauri,kwani yeye haoni? Hasikii?tusisingizie washauri jamani ndo uwezo wake ulipoishia.
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app