Je ardhi za hawa mafisadi je zina minazi na mihogo na majumba ya kufa mtu hata ifikie million 902?????? Serikali hapa ina la kujibu kwa umma hasa wanyonge wanahamisha kutoka ardhi zao na kulipwa laki mbili. Kama mahakama inakubali kuwa dhamani ya ardhi ni kiasi hiki basi inabidi watanganyika fidia zote zipitiwe na mahakama ili kutoa maisha bora kwa kila mtanzania na si kwa mramba, yona, mgonja, jeetu n.k.