CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,920
Nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda mrefu. Msukumo ukiwa:
- kwa nini Chancellor Bismark kunako 1884 alipowaita wakoloni wenziye wagawane Africa yeye alichukuwa Tanganyika na Namibia tu wakati kama mwenyeji angeweza kuchukua sehemu yeyeto ile atakayo?
- Kwa nini pamoja na rasilmali zote tulizonazo bado tunaitwa masikini. Je hatuwezi kujithaminisha kwa haya tulonayo? Mthalan kusema thamani ya Serengeti ni $ 500trillioni?
- Kwa nini mataifa makubwa yanamsifia JK wakati yanjua kabisa kuwa anashindwa kuendesha nchi?