Thamani halisi ya binti

Uchafu umeanzia hapo uliposema kuwa mafanikio ya Mwanaume yamebebwa na Mwanamke,

*Hivi akili zako zina akili kabisa kabisa kichwani Mwakib?

*Mafanikio anatoa Binadamu au Mungu?

SOMA ZAIDI HAPA

KUMBUKUMBU LA TORATI 8:18.
Umeelewa vizuri nilichokiandika!?
Au umekurupuka kucomnent ili Na wewe uonekane!?

Wewe Kama huamini haya yaache na sio lazima ukayaamini. Acha wanao yaamini wayaamini maana hamuwezi kuamini wote.

Akili yako wewe ndio mbovu kweli kweli Hadi kuona haya maandishi Ni uchafu.
 
Mkuu usijishuku.
Hakuna wa kutupia jiwe hata kidogo kwa sababu makala yako imesheheni mafundisho yenye ukweli tupu.
 
Jiwe tena gizani hahaaa...bila shaka utakuwa Mariannah kupitia ID feki mbili maana si kwa ubishi hadi wa kupingana na Maandiko Matakatifu
 
Jiwe tena gizani hahaaa...bila shaka utakuwa Mariannah kupitia ID feki mbili maana si kwa ubishi hadi wa kupingana na Maandiko Matakatifu
Jiwe gani gizani!?
Nimekwambia sio lazima wewe ukaamini,wapo watu haya maandishi yatawajenga..
Endelea na assumptions zako za kusadikika.
Marianah naona umemvuruga huyu jamaa hadi anahisi kila mtu humu ndani Ni Marianah
 
Hapa tegemea reply kuwa 20 hafu views 5000, wadada kila akisoma anatoka nduki kimyakimya, wakati mwingine huwa nawaza bora nisioe tu.
 
Jiwe gani gizani!?
Nimekwambia sio lazima wewe ukaamini,wapo watu haya maandishi yatawajenga..
Endelea na assumptions zako za kusadikika.
Marianah naona umemvuruga huyu jamaa hadi anahisi kila mtu humu ndani Ni Marianah
Unateseka sana Saint Heaven? Tulia dawa ikuingie pole pole wala huu mjadala hauhitaji hasira Mamaangu kipenzi
 
Unateseka sana Saint Heaven? Tulia dawa ikuingie pole pole wala huu mjadala hauhitaji hasira Mamaangu kipenzi
Anaeteseka nani kama sio wewe!?????

Niteseke kwa lipi!?
Nimeongea kile ninachoamini na ambacho kinawatokea watu Mara nyingi.
Nikaweka mfano kwamba nyota ya Mwanaume ya mafanikio yaweza kuwa Kwenye bikira ya mwanamke...
Mara wafanyapo tendo la ndoa huiachilia.
Naona hili swala limekuumiza kijana, Kama hukupata mchumba bikra tuliza kichwa baba.
 
Kama huu uzi wako unaongelea bikra tu ya kwenye papuchi. Basi kuna kipindi huwa nawakumbuka hadi mabarmaid wangu kuliko huyu wangu niliemkuta bikra. Kwanza hael.......... Basi tu nisiendelee
 
Sitetei maovu ila kuniambia kuwa mafanikio ya mwanaume yako kwenye bikra ya mke wake bas mafanikio yangekuwa vijijini sana ambako ndo mabinti huolewa mabikra tukilinganisha na mijini kama dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…