kwa wanaojua kumla samaki, ili ujue bado ni mzima huwa unaanzia kichwani. nionavyo mimi samaki huyu ameoza kuanzia kichwa hivyo hafai kuliwa.......ila kusaidia wadudu hawa wasiendelee kuleta harufu, nijambo jema kuondoa baadhi ya viwiliwili kama njia ya awali, tuchemshe na baadae tumkaushe sehemu zitakazobaki kisha tumhifadhi darini au mtungini angalau kwa muongo mmoja......atakuwa amejifunza
Ni mtazamo tu
Ni mtazamo tu