Thabeet to give up eligibility to enter NBA draft | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Thabeet to give up eligibility to enter NBA draft

Discussion in 'Sports' started by Field Marshall ES, Apr 15, 2009.

 1. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  Thabeet to give up eligibility to enter NBA draft

  Associated Press
  Updated: April 14, 2009, 5:27 PM EST


  STORRS, Conn. (AP) - Connecticut's Hasheem Thabeet will give up his final year of college eligibility and enter the NBA draft.

  The 7-foot-3 center from Tanzania said Tuesday that he made the decision after speaking to family, friends and coach Jim Calhoun.

  "I have had a great experience at Connecticut and cannot thank my coaches and teammates enough," Thabeet said in a statement released by the school. "I look forward to the challenge of playing professionally and know that my time here at UConn has prepared me to be successful in the future."

  Calhoun called Thabeet "one of the most dominant defensive players in the history of college basketball," and said he believes he is ready to make the move to the NBA.

  "He is a special player and even more special as a person," Calhoun said. "He will truly be remembered as one of the great players in UConn history, not only for his accomplishments, but also because of the type of person he is."

  Thabeet, the Big East co-Player of the Year with Pittsburgh's DeJuan Blair, averaged 13.6 points, 10.8 rebounds and 4.2 blocked shots per game in helping the Huskies to a 31-5 record and a Final Four berth.

  He becomes the 11th player from Connecticut to declare early for the NBA draft. Nine of the others were picked in the first round, and eight of those were lottery selections.

  Thabeet had been playing organized basketball for less than five years when he came to Connecticut from Dar es Salaam, Tanzania, by way of the Cypress Christian School in Houston.

  He considered turning pro after both his freshmen and sophomore seasons.

  The school said Thabeet plans to hire an agent, a move that would eliminate the possibility that he could withdraw his name before June 15 and retain his collegiate eligibility.
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,549
  Likes Received: 81,990
  Trophy Points: 280
  Good luck and all the best.
   
 3. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  All the best. Tumuunge mkono wana JF, nina uhakika ana washauri wengi tu wa kutosha,ndugu, jamaa na marafiki. Ile mambo yetu ya kupigana madongo humu [ au wengine wanaita ushauri ]eti anavaa hereni, anakunywa sana, ana demu.... tuweke pembeni kwa sasa. Tumuombee pia Mrisho Ngassa aliye kwenye trials UK.
   
 4. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  NBA.com: UConn center Thabeet to enter NBA draft

  uamuzi mzuri saana good luck.......teh tehe tehe kuhani upo?
   
 5. M

  Magehema JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2009
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  I do concur with Kwame Nkuruma, lets keep our fingers crossed ili hawa jamaa wafanikiwe, huwezi jua mipango ya Mungu wanaweza kuja kuwekeza hapa Bongo baada ya kupata mikataba minono. God bless Ngasa and Thabeet, God bless TZ.
   
 6. A

  Alpha JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2009
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Thabeet and Ngasa.

  There is hope for Tanzanian athletes.

  Good luck to both of them.
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Apr 15, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Subiri sasa uone watu watavyoanza kujipendekeza pendekeza.....hasa wale mademu wadhaifu dhaifu wasio na akili na wanaopenda wanaume wenye hela aka groupies
   
 8. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  All the best HASHEEM!
   
 9. Killuminati

  Killuminati JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2009
  Joined: Apr 24, 2007
  Messages: 321
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Du risk nyingine bwana whats the hurry, School??!!...anyway kila la kheri.
   
 10. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #10
  Apr 15, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mshaurini kijana kuhusu hii Tweeting yake, inaweza kumharibia. Siyo kila mtu anampenda na kuna wengine watataka kumtafutia issues tu ili kupata habari, ukisoma hapo chini utaona between the lines wanasema Hasheem illiterate, wengine wanaweza ku infer anatoka chini ya mwembe na hajawahi kwenda kwenye fancy restaurant.

  Hata kama ni kweli, it is too much information katika nchi yenye magazeti na websites kibao, na yeye kashakuwa star.

  Ndiyo unaona ikiwa "slow news day" wanaenda kutafuta "habari" kwenye Tweeter page yake.

   
 11. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #11
  Apr 15, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,604
  Trophy Points: 280
  All the best mkaka....ila usipovuma NBA ujue shule huna kaka....anyway opport cost ...
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Apr 15, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Duh kama ni kweli basi inabidi a tone down....
   
 13. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #13
  Apr 15, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Sio kweli kuwa hana shule ila hawezi kuchezea timu ya college tena, na scholaship hakuna of course.

  Kama atakua third pick kwenye Draft kama watu wanavyopredict basi yuko guaranteed $3,229,200 mwaka wa kwanza na $3,471,300 mwaka wa pili hata akiboa vipi! Hapo anaweza akajilipia shule hadi achoke!

  Cha muhimu asivunje sheria za kudeal na hawa Agents, naona kwenye hiyo news article wanasema haijulikani nani kalipia trip ya Miami, ni kinyume cha sheria kukubali malipo yoyote kabla ya draft.

  Best of luck kijana!!
   
 14. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #14
  Apr 15, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kang,

  Ndipo hapo ninaposema haya mambo ya ku Tweet yanaweza muumiza, kwani kuuchuna kuna kazi gani? Anaweza kukosa deal hivi hivi kwa vitu ambavyo wabongo tunaona vidogo.
   
 15. Dilunga

  Dilunga JF-Expert Member

  #15
  Apr 15, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 679
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  "Acheni roho za korosho.

  "Huyu bado ni kijana, mwacheni afurahie maisha."

  "Acheni wivu, akipata na wengi tutanufaika."

  "Mpeni sapoti Mtanzania mwenzenu."
   
 16. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #16
  Apr 15, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Sawa Dilunga, hata akiwa anajipiga risasi kama Plaxico Burress tutamuunga mkono tu ajipige risasi.

  Juzi April Fools Day kabandika tweet inasema amefail drug test na haendi NCAA.

  Kuna tofauti ya star ambaye kashapata jina na mtu anayetafuta jina.Sijui kama kijana anajua kwamba hajapata jina bado?
   
 17. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #17
  Apr 16, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  nakuunga mkono mkuu......a slow down kwenye hili.....nimeona sasa hivi twitter page yake kaweka protection.......anyway lets wait iam sure ana ushauri mzuri huko alipo......
   
 18. Dilunga

  Dilunga JF-Expert Member

  #18
  Apr 16, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 679
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kuna matatizo mawili.

  Kwanza jamaa hajajua sana utamaduni wa Kimarekani anaourukia. Hajui nini cha kutania, na nini cha kusema, na wapi pa kwenda, na nini cha kuvaa. Eti anatania kafeli drug test. Asipoangalia ataanza kuwa clown. Mimi nina wasiwasi matatizo yake mbeleni yanaweza kuwa nje, zaidi ya ndani, ya uwanja. Ndani ya uwanja ameshatabiriwa kwamba atakuwa sana sana Mutombo, sio Olajuwon. Na haonekani kama ana nidhamu ya kutafuta kupitiliza, labda hata kufikia, hivyo vikomo vya umahiri alivyotabiriwa: Mutombo. Lakini matatizo ya nje ya uwanja yanaweza kughafirisha changamoto za ndani ya uwanja.

  Tatizo la pili linajulikana wazi. Ni watu kama sisi wenye roho za korosho.
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Apr 16, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Sikiliza kaka, sio kwamba wakati mwingine huna pointi. Unakuwa nazo kama walivyo watu wengine including mimi "villain". Lakini jinsi unavyozi convey you come accross as condescending. I know you may wonder 'who are you talk'..'you have no room to talk'. But hey, most of the time it's not what you say but how you say what you say.

  Kwenye haya mambo ya facebook sijui Tweeter mimi ningemshauri aachane nayo maana anaweza akaandika vitu vinaweza kuja kumponza baadae.

  Lakini kwenye kuvaa kapelo upande....kuwenda kujirusha kistaarabu n.k....hayo sina tatizo nayo.
   
 20. Dilunga

  Dilunga JF-Expert Member

  #20
  Apr 16, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 679
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Naomba nikuulize swali hukusu hicho ulichosema.

  Jinsi mimi ninavyo andika na jinsi press ya Marekani inavyoandika na kufuatilia mienendo ya watu, ni yupi yuko vociferous zaidi?
   
Loading...