Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 10,488
- 20,039
Educative ni huko huko kwenu Africa,ma mbele huku ni nyimbo za Ngono+bata only.Content yake ni educative au ndio jamii ya JIBEBE na KWANGARU ?
ewaaaEducative ni huko huko kwenu Africa,ma mbele huku ni nyimbo za Ngono+bata only.
Educative ni huko huko kwenu Africa,ma mbele huku ni nyimbo za Ngono+bata only.
Hahah sawasawa mkuu.Mkuu sema life inspirational songs, hivyo ulivyosema wazee wataweka fitna[emoji23][emoji23]
Content yake ni educative au ndio jamii ya JIBEBE na KWANGARU ?
Mkuu naomba link nishushe hii albumKwema wadau?
View attachment 882342
Tuweke mambo mengine kando embu tuiangalie kama Tha carter V itamrudisha huyu jamaa level zile tena maana vijana wamekuwa moto sana
Japo namatumaini na ichi kichwa maana kuna track Swizz beat kampa collabo kafanya kweli utafikiri ni nyimbo yake.
Ila atawaweza kweli watu kama Migos, Kelvin, Lil uzi nae namuona siyo haba hapa kati kati.
Nimesikiliza track 3 tu za Tha carter V bado naendelea nazo nyingine ila nimempa point
Anyway embu sema neno mdau..
Mkuu naomba link nishushe hii album
Sikiliza wimbo wa Drake Heat of the moment halafu nukuu mstari hata mmoja wenye maudhui ya ngonoEducative ni huko huko kwenu Africa,ma mbele huku ni nyimbo za Ngono+bata only.
TawileEducative ni huko huko kwenu Africa,ma mbele huku ni nyimbo za Ngono+bata only.