ila wakiruhusu mgombea binafsi wala usiwe na shaka nitamwaga info zangu hapa hapa mimi mwenyewe; haya ya kutungiwa biography na watu unaweza kuitwa mtoto wa shetani hivi hivi..
Tupo pamoja Mkuu, nitakuwa mwana JF wa kwanza kukupigia debe, ila cha msingi na cha kwanza we mwanga tu info zako tuziperuzi na kuzihakiki.
ila kaka angalia watu wameulilia urais kwa miaka mingi - then mara urais huooo.. ....kabla hata ya miaka mitano tu wapo chalii.....isije ikawa hayo hayo kwako MM, uongozi navyojua mimi ni kujitoa nafsi yako kwa unaowaongoza.