TFF yadanganya kuhusu kadi nyekundu ya mchezaji wa Simba

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,583
CLOUDS FM

RUFAA YA POLISI DHIDI YA SIMBA SC

SURA YA KUMINAMOJA (UTHIBITI WA WACHEZAJI)) KOMBE LA SHIRIKISHO AZAM SHERIA INASEMA KANUNI ZITATUMIKA KAMA ZA LIGI KUU

MCHEZAJI ATAKAEPATA KADI MBILI ZA NJANO HATORUHUSIWA KUCHEZA MECHI INAYOFWAT.A

LEOO MWENYEKITI WA KAMATI ANAWAMBIA WAANDISHI ADHABU ZA SHIRIKISHO ZINAISHA MSIMU UNAPOISHA.... AKIELEZEAA RUFAA YA POLISI DHIDI YA SIMBA.. LOH

SHERIA ZENUWENYWWE MNAJICHANGANYA

AHSANTE SHAFFIDAUDA...
USIACHE KUKUMBUSHA HAWA WASIOJUA WALICHOKIANDIKA

REF

CLOUDS FM MICHEZO...
 
Hivi kama kanuni ipo na tff wanaishi kwa sababu ya simba na yanga, waiondoe simba kisa polisi labda sio malinzi huyo
 
Back
Top Bottom