Sasa uwanja wa Karume unatumika kwa mechi za ligi daraja la kwanza cha ajabu uwanja huo licha ya kuwa ofisi za TFF zimo humo lakini hilo hawalioni ni hatari mno kwa wachezaj kwani hauna uzio wa kuwazuia watazamaji kuingia kwenye 'pitch'.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.