njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,084
- 8,663
Nongwa tu zisizo na MsingiHata sijajua shida ni nini hapo..
Mpira usha washinda uwanjani sasa hivi wamehamia kwenye lawama na kuona wanaonewaHata sijajua shida ni nini hapo..
Sawa MAMA umesikika.watoto wa nje ya ndoa mna tabu sana
Nani alimfukuza?,"Watoto hawaruhusiwi",mbona mnalazimisha vitu vya ajabuajabu nyie watu,mna matatizo gan nyie?!?!? tumieni hiyo 10% ya ubongo wenu vzr,mnakuwa kama bata ambaye hapishi gari barabarani,Huu mkataba unaosababisha hadi CEO wa Simba kufukuzwa uwanjani na familia yake, huu mkataba unaolazimisha Simba avae nembo begani kwa milion 5 kwa mwezi ilihali anao ATCL na AFricarriers waliotoa buses 4 na hawako hata kwenye jezi ni wa ajabu sana...
kitita ndico milioni 60 kwa mwaka? yaani vunja bei anayetoa ,milioni 1000 kwa mwaka tuitaje ? LIKITITA SIYO? kwa taarifa yake afri carriers katoa mabasi 4 kwa simba anakaa kwenye jezi za simba queens na team za vijana halafu yanatokea matapeli yanataka simba wavae nembo yake begani kwa milions 5 kwa mwez, wajinga nyie kwelikweli..hiyo billlions 2 inayowatoa roho kina karia fred vunja bei kaiweka pale simbaMakolo mnahangaika sana na huu udhamini aisee.
Mkubali tu kua miamba imetoa kitita kudhamini ligi mnayocheza, ligi iliyowafanya muwe wa kimataifa, hawa maboss ndio wameweka mzigo wao hapo.
Mkubali mkatae GSM ndo ashadhamini ligi sasa.
kwa akili yako unaona HAPO KARIA NA WEHU WENZAKE WA TFF WAME TAG ACCOUNT SAHIHI YA NBC? HUONI HAONA U BLUE? YAANI MAIN SPONSOR TFF HAWAJUI HATA TWITTER HANDLE YAKE? HALAFU HOME SHOPPING CENTRE WANAKUWA TAGGED KABLA YA MDHAMINI MKUU?Hata sijajua shida ni nini hapo..
Jifunzeni kuleta vitu vya maana tuwaelewe basi. Maana kwa jinsi hii mnatulazimisha tuwaone hamnazo tu. Mkataba wa GSM na kuzuiwa kwa Barbra vina uhusiano gani na hiyo tweet ya msimamo wa ligi?Huu mkataba unaosababisha hadi CEO wa Simba kufukuzwa uwanjani na familia yake, huu mkataba unaolazimisha Simba avae nembo begani kwa milion 5 kwa mwezi ilihali anao ATCL na AFricarriers waliotoa buses 4 na hawako hata kwenye jezi ni wa ajabu sana...
mtarukaruka sana kama maharage yasiyoiva TFF HAWAJUI ACCOUNT YA TWITTER YA MDHAMINI MKUU WA LIGI ? hiyo nbc-tanzania wao wameitoa wapi wakati account halisi ni NBCTanzania?Jifunzeni kuleta vitu vya maana tuwaelewe basi. Maana kwa jinsi hii mnatulazimisha tuwaone hamnazo tu. Mkataba wa GSM na kuzuiwa kwa Barbra vina uhusiano gani na hiyo tweet ya msimamo wa ligi?
Chuki itakuua. Mbona walipitisha fomu za kugombea tff hukujitokeza wewe unayejua kutag?mtarukaruka sana kama maharage yasiyoiva TFF HAWAJUI ACCOUNT YA TWITTER YA MDHAMINI MKUU WA LIGI ? hiyo nbc-tanzania wao wameitoa wapi wakati account halisi ni NBCTanzania?...