Inahusiana nini na mwenyekiti wa bodi mguto saa nne asubuhi kusema derby ipo,saa sita mchana kutangaza derby hakuna!?.. mguto ni kiongozi coastal union na coastal union ni tawi la simbaSometimes Tunajaza Serva zaJ amii forum Bila sababu za Msingi.
Gharama zinazolipwa kwaajili ya serva ni nyingi sana.
Tukikuuliza Body ya ligi ni nini na inapatikanaje unawezakutuambia????
Ama tukikuuliza viongozi wa TFF wanapatukanaje Unaweza Kutuambia????
Tena linadhaminiwa na GsmInahusiana nini na mwenyekiti wa bodi mguto saa nne asubuhi kusema derby ipo,saa sita mchana kutangaza derby hakuna!?.. mguto ni kiongozi coastal union na coastal union ni tawi la simba
Bugia maji lita mbili urudi kwenye normal mode.Hakuna ubishi uongoxi wa TFF na bodi ya ligi umeegemea Simba kwa 80%. Wanatekeleza matakwa ya Simba bila kujificha.
TFF na bodi ya ligi walíirahisishia Simba kukwepa derby, kushinda viporo vyake kwenye ligi na kushinda mechi zake CAF shirikisho. Hata KMC mechi yake na Simba kurudishwa uwanja wa KMC kutoka Tabora ni kuipendelra simba kuliko KMC. Kuna wakati Simba ilikuwa na viporo 11 vya ligi eti kwasababu inashiriki CAF, Kuna timu zinaporwa wachezaji wake na Simba bila utaratibu kwa baraka za TFF, timu kusajili wachezaji 10 wa kigeni asili yake ilikuwa kuinufaisha Simba wakati ule yanga inatembeza bakuli baada ya Manji kujitoa kuifadhili yanga. Ratina za mechi za igi pia zinailenga. Simba.
Kashindwa kutenda haki TFF ataweza CAF?
Kasoro mleta Uzi.Ila kwa kweli kwa jirani yetu mabogus ni wengi sana
CHombo kilienda mrama..!!Ingekuwa ni chombo cha simba,Yanga msingetwaa ubingwa mara 4 mfululizo
Wakati mnachukua kombe mara 3 mfululizo TFF hii hii ilikuwa chombo ya nani??Hakuna ubishi uongoxi wa TFF na bodi ya ligi umeegemea Simba kwa 80%. Wanatekeleza matakwa ya Simba bila kujificha.
TFF na bodi ya ligi walíirahisishia Simba kukwepa derby, kushinda viporo vyake kwenye ligi na kushinda mechi zake CAF shirikisho. Hata KMC mechi yake na Simba kurudishwa uwanja wa KMC kutoka Tabora ni kuipendelra simba kuliko KMC. Kuna wakati Simba ilikuwa na viporo 11 vya ligi eti kwasababu inashiriki CAF, Kuna timu zinaporwa wachezaji wake na Simba bila utaratibu kwa baraka za TFF, timu kusajili wachezaji 10 wa kigeni asili yake ilikuwa kuinufaisha Simba wakati ule yanga inatembeza bakuli baada ya Manji kujitoa kuifadhili yanga. Ratina za mechi za igi pia zinailenga. Simba.
Kashindwa kutenda haki TFF ataweza CAF?
Kama TFF inawaonea ni kesi gani mlipeleka mamlaka za nje yaani CAF na CAS mkashinda kila mchezaji anawaburuza mahakamani.Hakuna ubishi uongoxi wa TFF na bodi ya ligi umeegemea Simba kwa 80%. Wanatekeleza matakwa ya Simba bila kujificha.
TFF na bodi ya ligi walíirahisishia Simba kukwepa derby, kushinda viporo vyake kwenye ligi na kushinda mechi zake CAF shirikisho. Hata KMC mechi yake na Simba kurudishwa uwanja wa KMC kutoka Tabora ni kuipendelra simba kuliko KMC. Kuna wakati Simba ilikuwa na viporo 11 vya ligi eti kwasababu inashiriki CAF, Kuna timu zinaporwa wachezaji wake na Simba bila utaratibu kwa baraka za TFF, timu kusajili wachezaji 10 wa kigeni asili yake ilikuwa kuinufaisha Simba wakati ule yanga inatembeza bakuli baada ya Manji kujitoa kuifadhili yanga. Ratina za mechi za igi pia zinailenga. Simba.
Kashindwa kutenda haki TFF ataweza CAF?
Huna akili ya biashara ya mtandao wewe , hujui hela yao wanaipatajeSometimes Tunajaza Serva zaJ amii forum Bila sababu za Msingi.