chapachapa
Member
- Jan 14, 2013
- 93
- 21
Tenga anawachezea akili zao,na kuwaona kuwa hawana la kuwafanya sana sana watafungiwa mazima!Kiburi kama cha Rage na Ndolanga!wameona Waziri Mwanamke hajui sheria na utaratibu wa FIFA kuwa hawachezewi!Tenga anamtaka Nyamlani tu!Malinzi anaonekana anataka kuleta utawala wa kimla!Kaka BMT mdogo TFF!
mkuu unaumia nini mtu anyeua soka la tanzaniani huyu LEODGA CHILA TENGA kwa mikono miguu na serikali ya kichwa chake. hivi hujiulizi kwann wakati ule anagombea yeye haya yote hayauwepo?? ulishawah kuskia eti katiba imekiukwa kwenye chaguzi zilizo miuhusu yeye??
kwa taarifa yako huyu aliyebakizwa kama mgombea pekee ni ndugu wa damu na Tenga, na kibaya zaid anayajua madudu yake aliyoyafanya kwenye mapato ya getini(gate collections) na zile dola 250, 000 za FIFA. sasa anajua kabisa WAMBURA NA MALIZI watatoboa siri ama watamshkia chini. sababu ya katiba kubadilishwa na kuweka hizo condition zilizowekwa ni za kupikwa na za kuwanima hawa wawili nafasi za kugombea.
leo hii hata FIFA wana muunga mkono tenga eti kwasababu kesi za mambo ya mpira zinaendeshwa kiFIFA wakasahahu kwamba hata hiyo michezo lazima ifuate katiba ya nchi husika. nashindwa kuelewa hata KIKWETE ana mpa kichwa huyu mtu cha nin hadi kumpigia debe eti achaguliwe kuongoza CAF. sion alichofanya kwenye soka letu ingawa watu wana mwamko zaid, na wanajitolea.
well said mamito yaani huyu sharo halafu kawashka pabaya fifa na kikwete kwa kujivisha ngozi ya kondoo jamaa uozo kweli..
mbona mnalalama tu bila kutoa suluhisho....? hebu tuzungumze tuone mini tufanye baada ya barua ya fifa ya kutaka kufungia nchi...
mbona mnalalama tu bila kutoa suluhisho....? hebu tuzungumze tuone mini tufanye baada ya barua ya fifa ya kutaka kufungia nchi...
nyamlani ni hakimu,napata wasiwasi na fani ya mahakimukwani serikali imeingilia wapi?yaani kuwaambia kuwa hayo malekebisho ya katiba,hayakufuata utaratibu ndio kuingilia tff?wasitake ku2fanya hatuna akili,cha ajabu leo wamekuja eti na barua kutoka fifa,ikisema kuwa wao fifa wamepata taarifa kupitia magazeti ya tz kuwa serikali imeingilia michezo,hivyo wataifungia nchi!kwanini hao fifa wasije wakakaa chini na serikali na hao tff,ili wapate picha halisi,itakuwa hao tff wanawapotosha fifa!ili serikali inywee waendeleze umafia wao,Leo nimemsikia naibu waziri wa michezo mr.makala anasema kuwa wao kama serikali hawatababaika na hizo kauli za fifa,wao wanataka utaratibu ufuatwe,na tff ndio wanataka tz ifungiwe kutokana na uroho wa madaraka.Na leo ndio ilikuwa mwisho wa zile cku 5,walizopewa tff na wizara kujibu hoja,cha ajabu wamekuja na tamthilia kutoka fifa,ili kupoteza lengo.KWELI MWISHO WA UBAYA NI AIBU!"
watolewe kwa vigezo sio nguvuMpira duniani ni sector iliyojaa mafia. FIFA ndio wana final say, unfortunately though. Ni kama vile referee, uamuzi wa refa ni wa mwisho hata angekuja Jaji mkuu, hawezi kuubadilisha. Issue ni kwamba serikali haipaswi kuingilia mambo ya mpira, lakini wao wameingilia na wakatoa maagizo ya kipuuzi. Hata hivyo hao wanaowania hizo post mnawapendea nini? Wako wengi tuu wenye uwezo sio hao kina Mazini etal.
kwani mkuu wasiachwe hawa akina Malinzi na wambura wakagombea wapiga kura ndio wakawachuja??kwani NYAMLANI kaandikwa WEZA?? PENILA mkangala nae awe firm tuone manake huyu tenga anacheza na sheria za nchi. na tutakapofugiwa asi afunguliwwe mashtaka huyu TENGA
fifa wasitubabaishe bhana,heri na tufungiwe basi kuliko kuwaendekeza hawa matenga.hebu serikali na isimame kidete tuone kama sikio litazidi kichwa.
kwani wanaogopa uchaguzi huru na wa haki,lazima kuna jambo na huyu wambura nae kama sikosei kumbukumbu zangu si ndio alimpelekaga mahakamani rage mpaka akawekwa ndani kwa ubadhirifu wa fedha nadhani ndio mana wanamuoguopa,maana atafumua mengi