Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,700
- 1,721
Kwa kweli sasa inatosha. Huyu msemaji wa Yanga amekuwa akiidhalilisha TFF anavotaka kwa kuwafanya TFF kama mazuzu yaani hawajui chochote katika uongozi wa soka. Inavoonekana uongozi wa TFF unamuogopa huyu jamaa kumchukulia hatua za kinidhamu lakini sie wapenzi wa soka tunasononeshwa mno na hali hii. Nimeona niiweke hapa na sio jukwaa la michezo kwa machungu niliyonayo kwa tabia ya huyu jamaa. (Niliiweka jukwaa la Hoja.)