Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Hakika siku za mwizi ni arobaini.
Iwapo madai ya Klabu ya Zanaco ya Zambia yatathibitika basi itakuwa ni aibu Kwa Taifa, TFF na wapenzi wa soka. Klabu ya Yanga imekuwa na tabia ya kupulizia dawa kwenye vyumba vya kubadilishia nguo.Hata vilabu vyetu vimekuwa vinalalamika lakini TFF Kwa kuwa Rais wake na Katibu Mkuu wote wapo kuhakikisha Yanga inashinda.
Tunaomba Zanaco ishinde Rufaa yao.