TFF kwa nini isipulize dawa kwenye vyumba vya Uganda

Salt Bae

Senior Member
Jan 9, 2019
140
196
Yanga, Azam na vilabu vingine vya ligi kuu mnaonaje Tanzania tukipulizia dawa kwenye vyumba vya kubadilishia nguo vya timu ya taifa ya Uganda. Maana nyie ndo mnajua kama dawa ilikuwa inafanya kazi au haifanyi

Nawasilisha
 
Yanga, Azam na vilabu vingine vya ligi kuu mbaonaje tukipulizia Tanzania tukipulizia dawa kwenyw vyumba vya kubadilishia nguo vya timu ya taifa ya Uganda. Maana nyie ndo mnajua kama dawa ilikuwa inafanya kazi au haifanyi

Nawasilisha
Mambo ya Simba usituletee Natonal team hatuna fedha za kuhonga makamisaa wa mchezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga, Azam na vilabu vingine vya ligi kuu mbaonaje tukipulizia Tanzania tukipulizia dawa kwenyw vyumba vya kubadilishia nguo vya timu ya taifa ya Uganda. Maana nyie ndo mnajua kama dawa ilikuwa inafanya kazi au haifanyi

Nawasilisha
Ha ha ha....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom