eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 314
Povu la nini wadau,kikubwa hizi timu zetu zijenge viwanja vyao ili wafaidike na mgao
Nyie ndiyo mnaiga labda na kuboreshaHahaha.. Sawa Mkuu.
Kwa upande wetu, Simba SC tushaliona hilo, ndo mana hivi sasa mambo ni moto mitaa ya Bunju. Mafundi wako site masaa 24, kuhakikisha uwanja unakamilika haraka iwezekanavyo. Si mbaya mkatuiga.