TFF kumbe chupa mpya, mzinyo ni uleule!!!!!!!!

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,709
Reaction score
1,735
Sijaridhika na adhabu walizopewa Mbeya City hasa mbili zilizohusisha vurugu toka kwa mashabiki. Mfano ile vurugu iliyoihusu mechi na Prisons, mashabiki kadhaa waliisha fungwa na mahakama sasa TFF inahusika na nini? Kuhusu vurugu iliyohusiana na Yanga, TFF iliyopita ilisema suala hilo ni la kijinai hivo Yanga ilibidi washitaki polisi, au hili lilikuwa ni danganya toto kusubiri matokeo ya mzunguko wa kwanza? Kama sio mbinu za kuidhoofisha ni nini?
 
Hapa wewe unasukumwa na timu yako unahisi imeonewa siyo? nenda TFF ama uliza mjumbe mwakilishi wa kamati anayetokea kanda hiyo ili awaeleweshe,msiwe na jazba eti kisa timu yako imeguswa kwani navyojua mie maswala ya soka yanaanzia TFF kwanza mahakamani ni baadae
sana

Kwani hiki kilichotokea kama kweli wewe ni mwanasoka mbona maamuzi kama haya ufanyika kwenye FA pale England na mambo uishia humohumo? alafu tukio likitokea uwanjani kwanini TFF isihusike? labda kama watu wameumizana itabidi na mahakani pia
 
Ebu acha porojo kwaiyo ulitaka TFF wawapongeze mashabiki wa mbeya city? Alafu TFF ndo msimamizi mpira lazima atoe adhabu, ni kama kazini tu unapofanya kosa, kwanza unasimamishwa kazi then unafunguliwa mashtaka. Mbona watanzania vitu vya msingi tunapuuza alafu tunatetea ujinga
 
Mkuu, vitu vya msingi vipi? Kuitengenezea njia Yanga au Simba ya ubingwa?
 
Hapa wewe unasukumwa na timu yako unahisi imeonewa siyo? nenda TFF ama uliza mjumbe mwakilishi wa kamati anayetokea kanda hiyo ili awaeleweshe,msiwe na jazba eti kisa timu yako imeguswa kwani navyojua mie maswala ya soka yanaanzia TFF kwanza mahakamani ni baadae
sana

Kwani hiki kilichotokea kama kweli wewe ni mwanasoka mbona maamuzi kama haya ufanyika kwenye FA pale England na mambo uishia humohumo? alafu tukio likitokea uwanjani kwanini TFF isihusike? labda kama watu wameumizana itabidi na mahakani pia
Mkuu sijui kama kuvunja kioo cha basi ni sehemu ya mchezo. Mfano upo Misri, kama timu ina washabiki wakorofi ndani ya uwanja njia inayotumika ni kuwazuia kuingia uwanjani tu na sio kuiumiza klabu.
 
Hiyo ndo Bongo jamani. Mchawi wa Maendeleo ya Soka la bongo ni TFF yenyewe ikisaidiwa na SIMBA na YANGA.
Kweli kabisa mkuu, tutabakia hivi hivi tu na ubabaishaji wetu.
 
TFF wamesema wameufungia uwanja wa Sheikh Amri Abeid huko Arusha kwa kuwa una pitch mbovu na mbaya, na hapo hapo wanasema Mechi ya Kirafiki kati ya Taifa Stars na Namibia itachezwa kwenye uwanja huo huo...

Sijawaelewa kwakweli...
 
Na Namibia sio Kenya? Maana nimesikia RFA leo wakisema mechi hiyo imebadilishwa ichezwe Dar kwa sababu tu ETI Kenya hawautaki uwanja huo na TFF wamekubaliana na Kenya. Majanga haya.
 
Ndo yale yale, hiyo ni taarifa mpya. Ilikuwa wacheze na Namibia mwanzoni...eti kwa kuwa walionyesha nia ya kutaka kucheza na Taifa Stars nchini Tanzania. Nchi nyingine walitaka Stars waende kwao. Na TFF walichagua uwanja wa Arusha kwa kuwa hali ya hewa ya kule ni sawa na ile ya Kenya. Sasa sijui hii ya kucheza mechi Darisalama ina akisi maandalizi ya nini?

Anyway, ndo yale yale...huwa wanapenda sana kuongea vitu bila kupata confirmation.
 
Mkuu sijui kama kuvunja kioo cha basi ni sehemu ya mchezo. Mfano upo Misri, kama timu ina washabiki wakorofi ndani ya uwanja njia inayotumika ni kuwazuia kuingia uwanjani tu na sio kuiumiza klabu.

Timu kucheza bila mashabiki ni adhabu ni adhabu sababu Misri vilabu vina viwanja so adhabu inaifanya mapato ya klabu kupungua ,ni sawa na kuipiga faini kama TFF walivyofanya
 
Ndo yale yale, hiyo ni taarifa mpya. Ilikuwa wacheze na Namibia mwanzoni...eti kwa kuwa walionyesha nia ya kutaka kucheza na Taifa Stars nchini Tanzania. Nchi nyingine walitaka Stars waende kwao. Na TFF walichagua uwanja wa Arusha kwa kuwa hali ya hewa ya kule ni sawa na ile ya Kenya. Sasa sijui hii ya kucheza mechi Darisalama ina akisi maandalizi ya nini?

Anyway, ndo yale yale...huwa wanapenda sana kuongea vitu bila kupata confirmation.
POCHI tu limelengwa hapo na si maandalizi ya timu kimchezo, hao Kenya wameona mechi kuchezewa Arusha haitapata washangiliaji wengi kama ikichezwa Dar.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom