GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,417
- 127,514
Kwenye golf yupo kaka yake DIONIZ MALINZIHivi kwenye golf hayupo?
NGOJA NISUBIRI KESHO SPORTS BAR, wataweka madini yote hewani hawa kina Luambano, haya mambo ya kufuatilia figisu figisu wako poa sana!Mtafute Mtangazaji Wa Michezo Mwandamizi Wa Clouds FM Alex Luambano Anazo Zote Kama Ushahidi Na Hata Ikibidi Watu Wa TAKUKURU Wakamwone Huyo Mtangazaji Kutokana Na Kwamba Ana Mzigo Kamili. Huwa SIKURUPUKI Kuja Na TAARIFA Humu Na Habari Ndiyo Hiyo. Na Kwakuwa Umechokoza Zaidi Sasa Nakuambia Tayari Kuna Mchezo Mwingin MCHAFU Huyo Huyo Mtu Wenu ANAHAHA Kuufanya Hadi Muda Huu Nao Ni Wa KUWAHONGA WAANDISHI WA MICHEZO WASIOJUA MIIKO YAO Na PESA Ili WASIZIDI KURIPOTI au KULIZUNGUMZIA HILI SUALA Na Kupitia Hii Post NAWAONYA VIKALI SANA Hao Waandishi Wa HABARI Kuwa Wasiporudisha Hizo HONGO WALIZOZIPOKEA WALLAHI Kesho Nawaanika Humu Humu. Sina CHUKI Na Malinzi Ila Nina Chuki Na Jinsi ANAVYOLIPELEKA SOKA LETU HUKU AKIWA Ni MSANII ALIYETUKUKA. Na Kuna BOMU LINGINE Lake Yeye Na Wale Jamaa Wa TAZARA Ambao Leo WAMEADABISHWA Na Waja Leo Warudi Leo LINANUKIA. Waandishi Wa Habari Fanyeni Kazi Zenu Ili Muokoe Soka La Tanzania Na Muweze Kumsaidia Rais Dr. MAGUFULI Katika Vita KALI YA UFISADI Na UJANJA UJANJA.
Bora bro yake yupo kimyaKwenye golf yupo kaka yake DIONIZ MALINZI
kwa kua tff kuna watu wanamatatizo basi ndio mtumie hiyo mafasi kuhalalisha upuuzi wenu yaani mshabiki tu alopoke basi na sisi tuamini?kwa taarifa yako mimi sio nyumbu
Sasa mbona unaenda kiushabiki kuliko kisomi? Hakuna swali la kisomi hata moja uliloandika hapo!hiyo timu yako kuna goli walifunga likakataliwa?mangapi?vipi perfomance ya mchezo ilikuaje?ball position kwa timu zote ilikuaje?tuanze hapo twende kisomi ili kuepuka majungu na fitna.
Mtumie no yako bana mambo gani hayoWeka hizo meseji hapa.
umetishaMtafute Mtangazaji Wa Michezo Mwandamizi Wa Clouds FM Alex Luambano Anazo Zote Kama Ushahidi Na Hata Ikibidi Watu Wa TAKUKURU Wakamwone Huyo Mtangazaji Kutokana Na Kwamba Ana Mzigo Kamili. Huwa SIKURUPUKI Kuja Na TAARIFA Humu Na Habari Ndiyo Hiyo. Na Kwakuwa Umechokoza Zaidi Sasa Nakuambia Tayari Kuna Mchezo Mwingin MCHAFU Huyo Huyo Mtu Wenu ANAHAHA Kuufanya Hadi Muda Huu Nao Ni Wa KUWAHONGA WAANDISHI WA MICHEZO WASIOJUA MIIKO YAO Na PESA Ili WASIZIDI KURIPOTI au KULIZUNGUMZIA HILI SUALA Na Kupitia Hii Post NAWAONYA VIKALI SANA Hao Waandishi Wa HABARI Kuwa Wasiporudisha Hizo HONGO WALIZOZIPOKEA WALLAHI Kesho Nawaanika Humu Humu. Sina CHUKI Na Malinzi Ila Nina Chuki Na Jinsi ANAVYOLIPELEKA SOKA LETU HUKU AKIWA Ni MSANII ALIYETUKUKA. Na Kuna BOMU LINGINE Lake Yeye Na Wale Jamaa Wa TAZARA Ambao Leo WAMEADABISHWA Na Waja Leo Warudi Leo LINANUKIA. Waandishi Wa Habari Fanyeni Kazi Zenu Ili Muokoe Soka La Tanzania Na Muweze Kumsaidia Rais Dr. MAGUFULI Katika Vita KALI YA UFISADI Na UJANJA UJANJA.
Wapi wamekwambia huyu Wa NJE NA huyu ndani sibishi nakuelekezaKwani mtoto wa nje watu wanamtafuta sakafuni,hata huko nje vitanda vipo acha ubishi