TFF inauza uchawi kwa tsh 100m?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
17,953
Reaction score
17,366
Ligi ya TFF ina timu ambazo zimethibitika hata CAF kuwa zinafanya uchawi michezoni hadi zikapewa adhabu na CAF. TFF wanajua kuwa kuna timu ziliomba uongozi wa uwanja wa taifa iwaruhusu wafanye uchawi kwenye mechi za kimataifa. Tff inafahamu kuwa kuna timu zimewahi kumwaga chumvi uwanjani, kutoboa matundu kwenye nyumba vya kubadilishia nguo. TFF inafahamu kuwa wachezaji wa Azam waliwahikulalamika kupata madhara kabla ya mechi.

Yote haya TFF haijawahi kufanya jitihada za kutafuta kweli wa kisayansi kuhusu matumizi ya madawa kwenye vyumba vya kubadilishia nguo wachezaji wale wachezaji kutumia dawa za kusisimua misuli, badala yake wanaibuka na adhabu ya fedha kwa anaetaka kuchukua tahadhali ya kuepusha athali za kuwekewa madawa na timu nyingine.

TFf inasidia timu kuroga na kurogwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…