1. Hapo uliposema mimi ni Yanga hujakosea,tena si Mshabiki tu ni Mwanachama kabisaa...
2. Simchukii Rage,nachukia namna anavyowadanganya (kwenye mambo mengi tu) watu wa Simba pasipo watu wa Simba wenyewe kugundua au kushtuka, ushahidi uko wazi kabisa.
3. Ni kweli unaweza kutafsiri mabadiliko tuliyoyafanya Wanachama wa Yanga kuwa yalikuwa yakihuni,sawa naweza kukubaliana na wewe ingawaje hata kwenye lile tukio letu katiba pia ilifuatwa,inawezekana pia wengi wenu mnaona njia ile tuliyotumia sisi siyo sahihi,nyie hamuwezi kuitumia badala yake mtamvumilia ifike mwisho wa kipindi chake ndo muangalie kama mtamchagua tena au la,sawa kabisa lkn ombi langu wakati mnavumilia hayo muache basi kulaumu watu wengine kwa Madudu anayofanya Mwenyekiti wenu muone kama nitamlalamikia Rage,sasa watu wanahamasishana wakaharibu TFF kwa uzembe wa MahaRage unataka mimi nikae kimya,kweli Rafiki?