Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Ukiangalia jinsi TFF ya Tenga na wenzake inavyoendeshwa utakubaliana na kichwa cha thread hii.kwa takriban wiki 2 zilizopita kumekuwa na matukio ya kusikitisha ambayo yanalichimbia kabur soka letu. juzI wametangaza kuongeza usajili..lakin imegundulika wamefanya hvyo sababu Yanga hawajamaliza vurugu zao...
Yanga wamekwenda mbali zaidi mpaka kumshawish mchezaj aliyekuwa tayar amesajiliwa na simba na imeshatangazwa.kana kwamba hyo haitoshi kuna habar ambazo sio sir hapa mjin kwamba kuna viongoz wa Yanga wamemfuata okwi na Ngassa kuwashawish kuikacha simba na kuamia Yanga kitendo ambacho hakikubalik kwenye mchezo wa soka.
TENGA UPO WAPI?au bado unavaa boxer ya rangi ya njano?sasa hili ni wazo tuu.kama mmelala muamke mjue fika kwamba hizi timu za Simba na Yanga zinawatu ambao wanaweza kufanya chochote hata kupoteza uhai wa mtu linapokuja suala la timu zao..mnakumbuka ni juz tuu Nchunga aliikimbia famili,mke akawa anaishi kama digidigi.TENGA NA WENZAKO MNAYATAFTA YA NCHUNGA..stay Warned!
;(Tenga uongozi umemshinda anaongeza muda wa usajili kwa ajili yya maslahi ya Yanga.
Wapenzi wa Simba wenzangu, mimi nina mawazo tofauti; UONGOZI WA SIMBA UNATUTANIA, haiingii akilini mchezaji AMESAINI MKATABA SIMBA, KABLA MKATABA HAUJAISHA ANASAINI TIMU NYINGINE na anarudisha hela, uongozi wa simba as if hawajui sheria za mikataba wanachukua hizo bila kufuata utaratibu maalum wa kuvunja mkataba! Kuna matatizo Simba
Ukiangalia jinsi TFF ya Tenga na wenzake inavyoendeshwa utakubaliana na kichwa cha thread hii.kwa takriban wiki 2 zilizopita kumekuwa na matukio ya kusikitisha ambayo yanalichimbia kabur soka letu. juzI wametangaza kuongeza usajili..lakin imegundulika wamefanya hvyo sababu Yanga hawajamaliza vurugu zao...
Yanga wamekwenda mbali zaidi mpaka kumshawish mchezaj aliyekuwa tayar amesajiliwa na simba na imeshatangazwa.kana kwamba hyo haitoshi kuna habar ambazo sio sir hapa mjin kwamba kuna viongoz wa Yanga wamemfuata okwi na Ngassa kuwashawish kuikacha simba na kuamia Yanga kitendo ambacho hakikubalik kwenye mchezo wa soka.
TENGA UPO WAPI?au bado unavaa boxer ya rangi ya njano?sasa hili ni wazo tuu.kama mmelala muamke mjue fika kwamba hizi timu za Simba na Yanga zinawatu ambao wanaweza kufanya chochote hata kupoteza uhai wa mtu linapokuja suala la timu zao..mnakumbuka ni juz tuu Nchunga aliikimbia famili,mke akawa anaishi kama digidigi.TENGA NA WENZAKO MNAYATAFTA YA NCHUNGA..stay Warned!
Manji ni mtu hatari sana katika nchi hii..mwizi jambazi na tspeli plus mzulumati..
Hakika this is what is so called "THINKING OUT OF THE BOX"..ni ajabu sana,Wana Simba wenye uwezo wa kufikiri kwa kiwango chako ni WACHACHE sana kama si hakuna kabisa ukitoa wewe.
Watu wanafikia stage ya kuhamasishana kumwaga damu TFF as if TFF ndo iliyompumbaza MahaRage wenu akashindwa kujua ashughulike na nani(mmiliki halali) katika suala la Twite.
Kwa mtazamo huo wako,pamoja na ile original "LIKE" niliyokugongea pale,chukua na hizi:-
LIKE
LIKE
LIKE
LIKE
LIKE
LIKE
LIKE
LIKE
Simba inaweza kujengwa na watu kama wewe na Si Ma'boya kama huyu mleta hii thread, unahamasisha umwagaji wa damu kwa makosa ya Mwenyekiti wako wee ni Ms***e sana.
Rage ni mtu mkarimu sana katika hii nchi,(sitaki kuingiza issue za rambirambi na stahiki nyingine za Marehemu Mafisango R.I.P)
we ulitaka Rage afanye nin zaidi ya kumsainisha mkataba na kumpatia pesa yake mambo mengine yaendelee?acha ya twite kuhusu okwi?usiwe vuvuzela wewe i knw wats goin on..mjinga wewe...leo wenyewe wamekir kuwa wamepokea dola 30 elfu..kwa nini wamembadilisha jina?kwa nin wamebadilisha na kurudi kwenye uraia wa asili?sasa kwa taarifa yako sijamhamasisha mtu..ila nimeonyesha results which r likely to occur kutokana na hiv vitu.WE UNAONGEA ONGEA TU UTADHANI UNAONGELEA MASABURI..AU UMETUMWA?
Kama Rage aliamini kumpa pesa na kumsainisha yale makaratasi aliyoyatoa photocopy kwenye stationery 1 ya kulekule Kigali ndo alimaliza kazi akarudi mbio Tz kuja kutoa maneno ya kashfa kwa Mpiganaji Binkleb basi mlipaswa kuhamishia hasira zenu kwake,tofauti na hapo ndo itakuwa kufikiria na ku'act kwa kutumia Masaburi.
Kaka,
huwa naangalia na kupitia post zako nyingi sana humu jamnvini na hususan za michezo....
Haina shaka wewe ni shabiki wa yanga damu kama ilivyo kwa mimi shabiki wa simba DAMU...
Ni wazi unamchukia sana mwenyekiti wetu,na sijui ni kwa nini...wakati hakuhusu kwa namna yeyote ile,klabu yako ina mwenyekiti pia,MANJI...
Sisi wapenzi wa simba tunaiheshimu katiba yetu,hatuwezi kumwondoa kiongozi madarakani kihuni kama mlivyofanya nyie..huo sio ustaarabu,Rage ana mapungufu yake mengi tu kama binadamu na kama kiongozi yeyote yule anavyoweza kuw nayo,sioni sababu ya kumshambulia kiasi hicho,kama haturidhishwi na utendaji wake,hatutomchagua next time kwenye uchaguzi wa klabu ...
Narudia tena,sisi simba tuna desturi ya kuiheshimu katiba yetu,
INGEKUWA KILA KIONGOZI ANAYEBORONGA ANAFANYIWA UHUNI KAMA ALIOFANYIWA NCHUNGA,SIDHANI KAMA LEO HII JK ANGEKUWA BADO NDIYE RAIS WA TZ MAANA NDIO KIONGOZI ANAYEONGOZA KWA KUFANYA MADUDU HAPA BONGO KWA SASA,Tunamvumilia tu,na kuheshimu utaratibu uliopo!!
The Magnificient
11 Aug 2012