TFF ina nini na Arusha??

Pukudu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
3,148
2,219
Tff kama wana ajenda ya siri na mpira wa miguu mkoa wa Arusha waweke wazi ila sio ukanjanja walioufanya... Katika ratiba ya ligi daraja la pili (SDL), TFF wamezipanga kwenye kundi moja timu za AFC, Madini, JKT Oljoro na PEPSI ya Karatu ... Lengo ni nini?? Au hamtaki timu zaidi ya moja ipande toka Arusha?? Au kuna timu inaandaliwa ipande??
 
Wahaya hawaipendi Kaskazini... Kule kanda yao wana matimu kibao ya ovyo.. Mara Mbao sijui Stendi lakini Kaskazini hakuna mwakilishi hata mmoja na wanaapiga figisu kila mwaka
 
Wahaya hawaipendi Kaskazini... Kule kanda yao wana matimu kibao ya ovyo.. Mara Mbao sijui Stendi lakini Kaskazini hakuna mwakilishi hata mmoja na wanaapiga figisu kila mwaka
We jamaa una chuki sana na mikoa ya kanda ya ziwa
 
Back
Top Bottom