TFF IMEGOMA KULIPA PESA ZA YANGA ZA FA??SIKU NYINGINE MGOME PESA KUPTIA TFF

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,914
30,972
NEENDA UGANDA MDHAMINI MKUU AZAM ANAWEKA PESA ZA CLUB KWENYE ACC ZAO AKUNA KUCHELEWESHWA WALA

NENDA RWANDA AZAM ANALIPA PESA CLUB KWENYE ACC ZAO

NI HAPA TU UTAONA PESA ZA MASHINDANO CHAMA KINAPEWA NA ZA WASHINDI NAZO ZINAPOKEA NDIO ZINAWAPA CLUB..HUI N UZALILILISHWAJI ZAIDI YA KIJINSIA

PESA N SHETAN PESA SI MALAIKA LEO AZAM VIA MWANANCHI WAMEOMBA TFF IWAPE YANGA PESA ZAO WAO WALISHATOA SIKUNYINGI

HII INAFUNDISHA NN HATA WALE MNAOENDA LWENYELIGI GOMEN BODA WAINGIZE PESA KWENYE ACC ZA VILABU NA SI VINGINEVYO

MH WAZIRI WA MICHEZO EMBUSIMAMIA HILI.PESA ZISIPITIE TFF KAMWE NA HAYA N MABADILIKO YUNAITAJI
 
Tanzania longolongo kwenye kila kitu, muda mwingi unatumika kwa kundeleza malumbano badala kuutumia kwenye mambo ya msingi yatakayoleta maendeleo. Kila siku zengwe tu, inakatisha tamaa.
 
Back
Top Bottom