Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,584
Azam ni wadhamini wakuu Uganda. Waliposainishana na chama cha michezo Uganda nahisi aliyesaini alikuwa kanywa bells kidogo.
Imefika wakati wa kutoa pesa jamaa wameanza kuipiga mikwara Azam ooh watavunja mkataba.Waziri akawaita, alipojua shida wanataka pesa za timu zipitie kwao akawambia asisikie tena huo upuuzi. Mpaka leo timu zinapokea mamilioni kwenye acc zao.
Nirudi hapa kwetu Voda kuna shida gani mpaka mkashindwa pitisha hizo pesa kwenye acc za club?
Kuna nani anafaidika na hizo pesa mpaka mnatesa wakati mwingine timu kisa chama kimetumia hela zao.Nani ananufaika hapo kwenu?
Ushauri:
Fwateni Azam wanachofanya Uganda timu mnawekewa pesa na sio kusubiri chama kimetumia ngapi kiamue kukupa salio, Never!!
Tuamke.