TFF hebu mrudishieni Kagere kifaa chake

Nasikia Manara anamtengenezea power bank yenye nguvu kushinda ya mwanzo maana sasa hivi hali ni mbaya sana jamaa hawezi kufunga tena
 
Acha unaa. Kagere alianza kuyumba mechi kadhaa kabla ya kukutana na Yanga (ambapo ndo alinyang'anywa power bank). Alianza kuyumba kabla ya hapo Prince Kunta
 
aaah wapi !
 

Attachments

  • Kibingwa ( 480 X 480 ).mp4
    582.8 KB

Attachments

  • - King_crown_ - UONGONAKWELI_rolling_on_the_floor_laughing__joy__rolling_on_the_floor_laughin...mp4
    3.1 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…