TFF-Haya ni Makosa ya Kibinadamu????

TFF-Haya ni Makosa ya Kibinadamu????

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
Waliopata ITC kwa upande wa Kagera Sugar ni Wilfred Ojodale Ame na Benjamin Efe Ofuyah wote kutoka FC Abuja ya Nigeria. Wengine ni Deangelis Silva kutoka New Road ya Nepal kwenda Coastal Union, George Odhiambo kutoka Randers FC ya Denmark kwenda Mtibwa Sugar na Jerry Santo kutoka Tusker, Kenya kwenda Coastal Union.

My take:

Hapo kwenye Red ni mchemsho wa TFF katika taarifa yake ya leo.........George Odhiambo kaenda Azam sio Mtibwa.......
 
ila simba kuandika kwenye karatasi moja kati ya sita mkataba unaanza desemba 2012 ni kosa kisheria tumechoka na pumba za TFF
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom