kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 17,349
- 21,449
Tff ni baba wa soka tanzania na ndio yenye zamana kuendesha ligi hapa tanzania na timu zinapofanya vibaya haikwepi lawama,timu yetu ya taifa haifanyi vizuri yote haya kulingana na ligi yetu si bora ila bora ligi,mpira umegubikwa na matatizo lukuki,upangaji wa matokeo kuanzia ngazi ya kata mpaka pale karume kwenyewe kila kiongozi ana timu yake,unafikiri bingwa wa halali atapatikana,ikiwa kiongozi wa klabu ndio anaiendesha tff mpaka wengine wanajiuzulu nafasi bila ya aibu kisa katuhumiwa anamuhujumu mgombea,
Tff inasaidiana na vilabu kupanga matokeo,tff inamwambia kiongozi wa klabu refa wako ni flani mtamalizana,hapo ndipo kiongozi anaposimama na kusema tutaipiga timu x bao tatu na kweli ukifika uwanja wanapata moja la penati,la pili offside,la tatu timu x mchezaji katolewa kadi nyekundu sababu kalalamika kabla goli halijafungwa kipa amesukumwa na refa na vibendera wamefumba macho,tabia nyingine ni ya kununua wale wachezaji wanaowauzia timu x,kwa mfumo huu tusitegemee
miujiza labda tuwasifu watangazaji wetu wa vipindi vya michezo ambao ni washabiki wetu na magazeti kutupa moyo lakini uwanjani hakuna kitu,ni tofauti kwenda kupambana na jkt mgambo unajua wachezaji hawajalipwa posho wala mshahara miezi sita,unafananisha na mashindano ya kimataifa,tubadilike tuache kuhujumu timu za nyumbani,tuache kununua marefa,tusicheze mpira mdomoni,mpira usichezwe na kina mbolembole na picha za rambo,wala maulid kitenge uzuri mpira hauchezwi chumbani wala matokeo hayatolewi kwenye bahasha,mastraika wetu wenye kufunga goli sita kila mchezo sasa wastani ni ziro ,penalt sababu mabeki wanachezea rafu ni ziro, kadi nyekundu refa haoni madhambi hazipatikani sasa,
Angalizo hii sio MPL haya ni mashindano ya CAF