TFF au KICHEFUCHEFU

Maswi

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
932
211
angalia hapa Vodacom Premier League Vodacom Premier League 2011/2012 na kisha hapa Summary - Ligi kuu Bara - Tanzania - Results, fixtures, tables and news - Soccerway ,hawa jamaa wa TFF wamekuwa wakifanya mambo mengi kwa kukurupuka na mambo mengine kama hawana wataalam, kwa mfano mzuri angalia msimamo wa ligi kuu yetu tangu jumapili mpaka leo jumanne wameshindwa kurekibisha time table hadi kushindwa na baadhi ya mitandao, kampuni kuendesha ligi hawataki , Taifa Stars ndiyo hiyo imewashinda. kazi kwelikweli.
 
hawa jamaa tokea kitambo nilisha watema..
 
Back
Top Bottom