TFF acheni roho mbaya

mkolaj

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
3,023
Reaction score
1,093
TFF sasa mumezidi, kwann game ya leo ya NANI MTANI JEMBE isionyeshwe live! ina maana kuwa mechi hii ingeoneshwa live mngekosa mapato ya uwanjan?

Ttupen sababu zilizosababisha hii match isioneshwe live kupitia chanel za hapa Tanzania.
 
duh kwahiyo sisi wa mikoani ndo hatutaona kitu
 
Nilimsikia mkurugenzi wa mashindano pale TIFUTIFU jina silijui, kwamba kituo chochote kinachotaka kurusha pambano hilo basi wapeleke maombi hapo TIFUTIFU, sasa sijui tajiri Azam hawezi onyesha mechi ya walevi kutokana na imani yake
 
Azam hawezi kuonyesha mechi za walevi, kwani Tanzania kuna kituo kimoja cha Tv?
 
duh kwahiyo sisi wa mikoani ndo hatutaona kitu

Ndo hivo tena ndugu yangu mito,, wale wazee wa tifutifu wapo after money... sijui labda hawa tbc1 kama hawana kongamano la chama cha mapinduz
 
Azam hawezi kuonyesha mechi za walevi, kwani Tanzania kuna kituo kimoja cha Tv?

Azam ana mkataba wa kuonyesha VPL tuu....hii mechi mdhamini ni TBL....

Sa kwa nini Hawaonyeshi...mbona walikuwa wanaonyeshaga star TV mechi wanazozidhamini....
 
Ndo hivo tena ndugu yangu mito,, wale wazee wa tifutifu wapo after money... sijui labda hawa tbc1 kama hawana kongamano la chama cha mapinduz

Na kampeni hizi waonyeshe wamerogwaaa.....tukaeni karibu na redio....
 
TFF sasa mumezidi, kwann game ya leo ya NANI MTANI JEMBE isionyeshwe live! ina maana kuwa mechi hii ingeoneshwa live mngekosa mapato ya uwanjan?

Ttupen sababu zilizosababisha hii match isioneshwe live kupitia chanel za hapa Tanzania.

TBC wamerusha live.
 
Unaomba sababu na hukumu ushapitisha! Mechi haikuoneshwa?
 
Ndo hivo tena ndugu yangu mito,, wale wazee wa tifutifu wapo after money... sijui labda hawa tbc1 kama hawana kongamano la chama cha mapinduz

Akili zetu! Sasa Azam na TBC nani angetoa hela nyingi? Kama TFF wangetaka hela nyingi si wangeenda kwa Azam?
 
Angalia na idadi ya ambao wangetazama hiyo mechi, endapo ingeoneshwa na Azam TV na hivi ilivyoonyeshwa na TBC. Nadhani ni uamuzi mzuri sana kwa mechi kurushwa na TBC kwa sababu ni channel iliyo kwenye ving'amuzi vyote kikiwemo cha Azam. Isitoshe ni channel ya bure katika ving'amuzi vyote. Wakati mwingine tuwe tunapongeza.
Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…