Naomba kuwasilisha hoja kwenu kuwa kuna haja ya kufutwa kwa Mamlaka ya chakula na dawa (TFDA) na Shirika la udhibiti wa ubora na viwango Tanzania (TBS) kwasababu sioni kazi zake. Taasisi hizi hazifanyi kazi yoyote ndiyo maana katika nchi hii kuna uwingi wa bidhaa feki na zisizo na ubora. Pia kuna uwingi wa dawa na vyakula visivyostahili kwa matumizi ya binadamu kila pembe ya nchi hii. kwa mantiki hii nashuri kufutwa mar moja kwa TFDA na TBS kwasababu hazipo kwa manufaa ya walaji.